31 Julai 2025 - 00:36
Tizama Pigo la Usalama la Iran Dhidi ya Vibaraka wa Kizayuni na DAESH Nchini Iran | Ni kama vile Movie ya Kivita! + Video Fupi

Kwa mujibu wa duru za kiusalama, magaidi hao walipata mafunzo kutoka kwa mashirika ya Israel na walikuwa wakifanya kazi kwa ajili ya kuvuruga usalama wa taifa. Hilo ndio jukumu kubwa walilokuwa wakilifanya.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Iran Yaua Mtandao wa Ujasusi wa Vibaraka Wanaofanya Kazi kwa Niaba ya Israel. Video inaonyesha Mwanzo Mwisho Magaidi walivyovamiwa na kuuliwa na wengine kutiwa mbaroni sambamba na kukamata idadi kubwa ya Silaha nzito za Marekani zilikuwa zikimilikiwa na genge hilo la Kigaidi.

Tizama Pigo la Usalama la Iran Dhidi ya Vibaraka wa Kizayuni na DAESH Nchini Iran | Ni kama vile Movie ya Kivita! + Video Fupi

Taarifa zaidi zimeeleza kwamba Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimefanikiwa kuivunja mtandao wa kijasusi uliokuwa ukifanya kazi kwa niaba ya utawala haram wa Kizayuni wa Israel. 

Tizama Pigo la Usalama la Iran Dhidi ya Vibaraka wa Kizayuni na DAESH Nchini Iran | Ni kama vile Movie ya Kivita! + Video Fupi

Video mithili ya movie ya Kivita zilizotolewa zinaonyesha nyakati za kukamatwa kwa washukiwa pamoja na vifaa vyao vya kijasusi, zikidhihirisha uzito na ustadi wa operesheni hiyo kupitia Jeshi la Usalama la Iran.

Watu hao walikuwa na lengo la kufanya hujuma na kukusanya taarifa nyeti kutoka taasisi muhimu za Serikali na maeneo ya kimkakati. 

Tizama Pigo la Usalama la Iran Dhidi ya Vibaraka wa Kizayuni na DAESH Nchini Iran | Ni kama vile Movie ya Kivita! + Video Fupi

Kwa mujibu wa duru za kiusalama, magaidi hao walipata mafunzo kutoka kwa mashirika ya Israel na walikuwa wakifanya kazi kwa ajili ya kuvuruga usalama wa taifa. Hilo ndio jukumu kubwa walilokuwa wakilifanya.

Tizama Pigo la Usalama la Iran Dhidi ya Vibaraka wa Kizayuni na DAESH Nchini Iran | Ni kama vile Movie ya Kivita! + Video Fupi

Katika operesheni hiyo ya ghafla ya Jeshi la Iran, washukiwa walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya nchi huku wakifuatiliwa kwa umakini mkubwa. Pia, vifaa vya kisasa vya usikilizaji wa mawasiliano, vifaa vya mawasiliano ya siri na nyaraka za siri vilikamatwa kutoka katika maficho yao.

Maafisa wa usalama wamesema kuwa Iran haitavumilia kamwe uingiliaji wowote wa kijasusi au kitisho cha usalama kutoka kwa maadui wa nje, na itaendelea kulinda utulivu na mamlaka ya taifa kwa njia zote.

Your Comment

You are replying to: .
captcha